Thursday, January 2, 2014

WAZIRI WA FEDHA AFARIKI DUNIA.

Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kalenga Dr.William Mgimwa, amefariki dunia  katika hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akifanyiwa matibabu.

 
 
 PICHA YAKE

No comments:

Post a Comment