Kupata majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano na vyuo vya Ufundi tembelea-http://tamisemi.go.tz/form_five_selection
leo leo DUNIANI
Saturday, June 25, 2016
Monday, February 16, 2015
Mwanariadha wa mbio ndeffu Hyvon Ngetich alimaliza mita 50 za mwisho kwa kutambaa
Ingawa mwanariadha wa masafa marefu kutoka Kenya Hyvon Ngetich hakufanikiwa kushinda mbio za masafa marefu za Austin
mwaka huu bila shaka alifanikiwa kuteka nyoyo za watu kutokana na
ujasiri wake wa kutambaa na kuhakikisha kuwa amemaliza mbio hizo.
Hyvon Ngetich mwenye umri wa miaka 29,
aliishiwa na nguvu akiwa mita 50 kutoka kwenye mstari wa kumalizia mbio
hizo na hakuweza tena kuinuka na kukimbia. Mwanariadha huyo aliamua
kutambaa hadi mwisho wa mbiu hizo jambo lililowashangaza na hata
kuwaliza wengi waliotazama jitihada zake.
Muuguzi mmoja alimfuata kwa karibu mkimbiaji huyo akiwa tayari
kumsaidia iwapo angeishiwa kabisa. Muuguzi huyo hata hivyo hakumgusa
wala kumpatia msaada wowote Ngetich jambo ambalo lingesababisha jitihada
zake kukataliwa.
Akiongea kuhusu jambo hili la kushangaza Mkurugenzi wa mashindano
hayo ya Austin, John Conley alisema kuwa hajawahi kuona jambo kama hilo
katika miaka 43 aliyohusika na mbio za masafa marefu.
John Conley aliyezungumza na Ngetich baada ya
kumaliza mbio hizo alimwambia kuwa alikuwa ameonyesha ujasiri mkubwa
katika kukimbia na kutambaa kwake. Conley aliahidi kumpa Ngetich tuzo
sawa na mshindi wa nafasi ya pili licha ya kumaliza wa 3 kwani alikuwa
katika nafasi ya 2 alipoanza kutambaa.
Ngetich alimaliza katika nafasi ya 3 kwa muda wa 3:04:02, nyuma ya mshindi wa mashindano hayo Cynthia Jerop kutoka Kenya vile vile aliyemaliza kwa muda wa 2:54:21 na Mmarekani Hannah Steffan aliyemaliza wa 2 kwa muda wa 3:03:69.
Wednesday, February 11, 2015
ASSAD AKANA KUTUMIA MABOMU YA SUMU
Picha ya Raisi Bashar al assad.
RAIS BASHAR AL ASSAD WA SYRIA AMEKINGIA KIFUA HATUA YAKE PAMOJA NA YA JESHI LA NCHI YAKE WAKATI WA MIAKA MINNE YA MAPIGANO DHIDI YA VIKOSI VYA UPINZANI NA WANAMGAMBO WA KIISLAMU, MAPIGANO YALIZUSHA UVUMI WA KUWA ALITUMIA SILA ZA KEMIKALI KUWADHURU RAIA.
ASSAD AMESEMA KUWA WANAJESHI WAKE HAWAJASHAMBULIA SHULE WALA HAWAJATUMIA SILAHA
ZA KEMIKALI KUWAUA RAIA KATIKA KIPINDI HICHO LICHA YA MADAI CHUNGU NZIMA DHIDI
YAO.
BWANA ASAD AMEPINGA NA KUITA TUHUMA HIZO KUWA NI PROPAGANDA,
UMOJA WA MATAIFA UMEDAI
KUWA WANAJESHI WA SYRIA MARA NYINGI PIA
WALIZUIA MISAFARA YA SHIRIKA HILO KUFIKA MAENEO YA RAIA.
ASSAD AMESEMA KUWA SYRIA HAIJAWASILIANA MOJA KWA MOJA NA
MAREKANI KUHUSU VITA VYA MUUNGANO DHIDI YA KUNDI LA ISLAMIC STATE, LAKINI
AMESEMA KUWA MAREKANI ILIPITISHA HABARI HIZO
KUPITIA NCHI ZINGINE IKIWEMO IRAQ.
KATIKA MAHOJIANO NA SHIRIKA LA
HABARI LA UINGEREZA LA BBC. RAIS ASSAD AMESEMA KUWA SERIKALI YAKE ILICHUKUA HATUA YA AWALI ILI KUWALINDA RAIA NA KUPIGANA NA KILE
ALICHOKITAJA KUWA UGAIDI LAKINI HAJATUMIA KEMIKALI DHIDI YA RAIA.
KARDINALI KARL JOSEPH BECKER AMEFARIKI DUNIA
Picha ya KARDINALI KARL JOSEPH BECKER
BABA MTAKATIFU FRANCISKO AMEPOKEA TAARIFA YA MSIBA WA KARDINALI
KARL JOSEPH BECKER KUTOKA SHIRIKA LA WAYESUIT, ALIYEFARIKI DUNIA, TAREHE 10
FEBRUARI 2015 KWA MAJONZI MAKUBWA NA AMEMTUMIA SALAM ZA RAMBI RAMBI MHESHIMIWA
PADRE ADOLFO NICOLĂ€S PACHON, MKUU WA SHIRIKA LA WAYESUIT, KWA KUMKUMBUKA
KARDINALI BECKER KWA SADAKA NA MAJITOLEO YAKE KATIKA MAISHA NA UTUME WA
KANISA.
NI KIONGOZI ALIJIPAMBANUA KWA KUWAFUNDA VIJANA WA KIZAZI KIPYA, HUSUSAN MAPADRE KATIKA TAFITI ZA KITAALIMUNGU PAMOJA NA HUDUMA KWA KANISA LA KIULIMWENGU. BABA MTAKATIFU ANAMWOMBA BIKIRA MARIA NA KWA MAOMBEZI YA MTAKATIFU INYASI WA LOYOLA, WAWEZE KUMWOMBEA MAREHEMU KARDINALI BECKER, ILI AWEZE KUPOKELEWA KATIKA MAISHA YA UZIMA WA MILELE.
KARDINALI BECKER ALIZALIWA KUNAKO MWAKA 1928, NCHINI UJERUMANI, AKAJIUNGA NA SHIRIKA LA WAYESUIT AKIWA NA UMRI WA MIAKA ISHIRINI. BAADA YA MASOMO NA MAJIUNDO YAKE YA KIKASISI, AKADRISHWA KUNAKO MWAKA 1958. KWA MIAKA MINGI AMEKUWA NI JAALIM LA MAFUNDISHO TANZU YA KANISA, HUKO FRANKFURT NA KATIKA CHUO KIKUU CHA KIPAPA CHA GREGORIAN, KILICHOKO MJINI ROMA. ALIKUWA NI MJUMBE WA BARAZA LA KIPAPA LA MAFUNDISHO TANZU YA KANISA. KUNAKO TAREHE 18 FEBRUARI 2012 ALITEULIWA NA BABA MTAKATIFU MSTAAFU BENEDIKTO XVI KUWA KARDINALI, AMEFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 86.
KARDINALI PIETRO PAROLIN, KATIBU MKUU WA VATICAN ANAUNGANA NA WOTE WANAOOMBOLEZA KIFO CHA KARDINALI BECKER, ALIYEPENDWA NA KUHESHIMIWA SANA NA VIJANA WA KIZAZI KIPYA, KUTOKANA NA HEKIMA NA UMAHIRI WAKE KATIKA KUFUNDISHA; ANAMWOMBEA MAISHA YA UZIMA WA MILELE.

KIFO CHA KAYLA
Picha ya KAYLA JEAN MUELLER.
RAISI WA MAREKANI BARACK OBAMA, AMETHIBITISHA TAARIFA YA KIFO CHA KAYLA JEAN MUELLER AMBAYE ALIKUWA AKISHIKILIWA MATEKA NA KUNDI LA DOLA LA KIISLAM LA SYRIA.
KAYLA RAIA WA MAREKANI KUTOKA
JIMBO LA ARIZONA MWENYE UMRI WA MIAKA 26, ALIYEKUWA AKIFANYA KAZI ZA KUTOA
MISAADA YA KIBINADAAM AMEFARIKI
WAKATI AKISHIKILIWA MATEKA NA KUNDI LA DOLA
LA KIISLAMU.
KATIKA MAELEZO YAKE RAIS OBAMA
AMESEMA,
HAIJALISHI ITACHUKUA MUDA GANI,
MAREKANI ITAHAKIKISHA HAKI INAPATIKANA KWA MAGAIDI WALIOHUSIKA KATIKA UTEKAJI
NA KIFO CHA KAYLA.
WANAMGAMBO WA KUNDI LA DOLA LA
KIISLAM, WALIDAI WIKI ILIYOPITA KUWA MATEKA KAYLA ALIUAWA KATIKA MASHAMBULIZI MAKALI YA MABOMU
YALIYOTEKELEZWA NA MAJESHI YA JORDAN KATIKA MJI WA RAQQA, WAKATI WAKILIPA
KISASI KWA KIFO CHA RUBANI RAIA WA JORDAN ALIYEUAWA NA KUNDI HILO.
KAYLA, MKAZI WA JIMBO LA
ARIZONA ALIKAMATWA NA WANAMGAMBO WA
KUNDI LA DOLA LA KJIISALM WAKATI AKITOKA HOSPITALI YA KASKAZINI MWA MJI WA
ALLEPO MWEZI AUGUST MWAKA 2013.
Tuesday, February 10, 2015
Sifa za raisi ajae za tajwa na Mh Shamsi Vuai Nahodha
Mh. Shamsi Vuai Nahodha.
Kutaja sifa za mgombea kunahitaji hekma kubwa sana kwani watu wanaangalia sura,hali ya mgombea na mambo mengine. Lakini ni tofauti na matarajio ya wengi pale wanapomchagua mtu wa namna hiyo.
Mh shamsi Vuai Nahodha ametaja sifa za mgombea kupitia matatizo ya wananchi wa Tanzania "ukita kutaja sifa za mtu unae taka akumtumikie kwanza angalia masharti na matakwa yako"
MATATIZO YA WA TANZANIA
1. Nitaifa changa
2. Utegemezi
3. Muungano
4. Mmomonyoko wa maadili
hayo ni mambo yanayo wasumbua watanzania kutokana na Mh Nahodha. kutokana na hayo akataja sifa za kiongozi ambae ataweza kuitumikia nchi ya Tanzania kuwa ni Mwadilifu, Mtendaji na mwenye dhamira ya kujenga taifa la kujitegemea.
Subscribe to:
Posts (Atom)